Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Persecution: The hope of future blessedness supports under

4 mistari · 61 vipengele

Mistari kuhusu The hope of future blessedness supports under

  1. Ikiwa tumaini letu ndani ya Kristo ni kwa ajili ya maisha haya tu, sisi tunastahili kuhurumiwa kuliko watu wote.

  2. Kama kwa sababu za kibinadamu tu nilipigana na wanyama wakali huko Efeso, ningekuwa nimepata faida gani? Kama wafu hawafufuliwi, “Tuleni na kunywa, kwa kuwa kesho tutakufa.”

  3. Mliwahurumia wale waliokuwa kifungoni, mkikubali kwa furaha kunyangʼanywa mali zenu kwa maana mlijua kwamba mnayo mali iliyo bora zaidi idumuyo.

  4. Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno.