Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Nineveh: Jonah sent to proclaim the destruction of

4 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Jonah sent to proclaim the destruction of

  1. “Nenda katika mji mkubwa wa Ninawi ukahubiri juu yake, kwa sababu uovu wake umekuja juu mbele zangu.”

  2. Ndipo neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili:

  3. “Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.”

  4. Siku ya kwanza, Yona aliingia mjini. Akatangaza: “Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa.”