Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Nineveh: Destruction of, averted

2 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Destruction of, averted

  1. Mungu alipoona walivyofanya na jinsi walivyogeuka kutoka njia zao mbaya, akawa na huruma wala hakuleta maangamizi juu yao kama alivyokuwa ameonya.

  2. Lakini Ninawi ina zaidi ya watu 120,000 ambao hawawezi kupambanua kulia au kushoto, pamoja na ngʼombe wengi. Je, hainipasi kufikiri juu ya mji ule mkubwa?”