Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mountain: Jesus goes up into, for prayer

3 mistari · 11 vipengele

Mistari kuhusu Jesus goes up into, for prayer

  1. Baada ya kuwaaga, akaenda zake mlimani peke yake kuomba. Jioni ilipofika, Yesu alikuwa huko peke yake.

  2. Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.

  3. Yapata siku nane baada ya Yesu kusema hayo, aliwachukua Petro, Yakobo na Yohana, akaenda nao mlimani kuomba.