Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mountain: Overturning and removing of

4 mistari · 11 vipengele

Mistari kuhusu Overturning and removing of

  1. Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake.

  2. “Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake,

  3. Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba migumu sana, na kuiacha wazi mizizi ya milima.

  4. Samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kondeni, kila kiumbe kitambaacho ardhini, na watu wote walio juu ya uso wa nchi watatetemeka mbele zangu. Milima itapinduka, majabali yatapasuka na kila ukuta utaanguka chini.