Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ministers: Greedy of filthy lucre

4 mistari · 118 vipengele

Mistari kuhusu Greedy of filthy lucre

  1. Sikutamani fedha wala dhahabu wala vazi la mtu yeyote.

  2. asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha.

  3. Vivyo hivyo, mashemasi nao wawe watu wanaostahili heshima, wasiwe wenye kauli mbili au wenye kujifurahisha kwa mvinyo, wala wanaotamani faida isiyo halali.

  4. lichungeni kundi la Mungu mlilokabidhiwa, mkitumika kama waangalizi, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari, kama Mungu anavyowataka mwe; si kwa tamaa ya fedha, bali mlio na bidii katika kutumika.