Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Ministers: Devoted

3 mistari · 118 vipengele

Mistari kuhusu Devoted

  1. Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa ya thamani kwangu, kama kuyamaliza mashindano na kukamilisha ile kazi Bwana Yesu aliyonipa, yaani, kazi ya kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.

  2. Ninatarajia kwa shauku kubwa na kutumaini kwamba sitaaibika kwa njia yoyote, bali nitakuwa na ujasiri wa kutosha ili sasa kama wakati mwingine wowote, Kristo atukuzwe katika mwili wangu, ikiwa ni kwa kuishi au kwa kufa.

  3. Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.