Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ministers: The Eleven Apostles

4 mistari · 118 vipengele

Mistari kuhusu The Eleven Apostles

  1. Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda hadi Galilaya kwenye ule mlima ambao Yesu alikuwa amewaagiza.

  2. Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka.

  3. Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

  4. Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,