Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Manna

57 mistari · 44 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Kwa maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima.”

  2. Wakamwambia, “Bwana, kuanzia sasa tupatie huo mkate siku zote.”

  3. Yesu akawaambia, “Mimi ndimi mkate wa uzima. Yeye ajaye kwangu, hataona njaa kamwe na yeye aniaminiye, hataona kiu kamwe.

  4. Mimi ni mkate wa uzima.

  5. Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa.

  6. Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.

  7. Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”