Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Man: Made by God in his successive generations

4 mistari · 114 vipengele

Mistari kuhusu Made by God in his successive generations

  1. “Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. Je, sasa utageuka na kuniangamiza?

  2. Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena?

  3. Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, na kunigandisha kama jibini,

  4. ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa?