Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Man: Little lower than the angels

6 mistari · 114 vipengele

Mistari kuhusu Little lower than the angels

  1. Kama Mungu hawaamini watumishi wake, kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea,

  2. ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba za udongo wa mfinyanzi, ambazo misingi yake ipo mavumbini, ambao wamepondwa kama nondo!

  3. Kati ya mawio na machweo huvunjwa vipande vipande; bila yeyote kutambua, huangamia milele.

  4. Je, kamba za hema yao hazikungʼolewa, hivyo hufa bila hekima?’

  5. Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima,

  6. nawe umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.” Kwa kuweka vitu vyote chini yake, Mungu hakuacha kitu chochote ambacho hakukiweka chini ya mwanadamu. Lakini kwa sasa, hatuoni kwamba kila kitu kiko chini yake.