Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Cush: 1. Son of Ham

6 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu 1. Son of Ham

  1. Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani.

  2. Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.

  3. Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.

  4. Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani.

  5. Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.

  6. Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.