Rukia maudhui

Nimrod

4 mistari · 6 wanafamilia

Mistari inayomtaja Nimrod

  1. Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.

  2. Alikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.”

  3. Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi.

  4. Wataitawala nchi ya Ashuru kwa upanga, nchi ya Nimrodi kwa upanga. Atatuokoa kutoka kwa Mwashuru atakapoivamia nchi yetu na kuingia katika mipaka yetu.