Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Children: Rebellious, punished by the civil power

7 mistari · 102 vipengele

Mistari kuhusu Rebellious, punished by the civil power

  1. “Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe.

  2. “Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.

  3. “Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe.

  4. Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,

  5. baba yake na mama yake watamleta kwa wazee kwenye lango la mji wake.

  6. Watawaambia wazee, “Huyu mwanetu ni mkaidi na mwasi. Hatutii sisi, yeye ni mpotovu na mlevi.”

  7. Kisha wanaume wote wa mjini mwake watampiga kwa mawe mpaka afe. Ndivyo imewapasa kuondoa maovu kati yenu. Israeli yote itasikia hili na kuogopa.