Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Children: God's care of

5 mistari · 102 vipengele

Mistari kuhusu God's care of

  1. “Usimdhulumu mjane wala yatima.

  2. Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.

  3. Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.

  4. Unasikia, Ee Bwana, shauku ya wanaoonewa, wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao,

  5. ukiwatetea yatima na walioonewa, ili mwanadamu, ambaye ni udongo, asiogopeshe tena.