Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Zipporah: Reproaches Moses

2 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Reproaches Moses

  1. Lakini Sipora akachukua jiwe gumu, akakata govi la mwanawe na kugusa nalo miguu ya Mose. Sipora akasema, “Hakika wewe ni bwana arusi wa damu kwangu.”

  2. Sipora alipomwita Mose, “Bwana arusi wa damu,” alikuwa anamaanisha ile tohara. Baada ya hayo Bwana akamwacha.