Rukia maudhui

Gershom

5 mistari · 4 wanafamilia

Mistari inayomtaja Gershom

  1. Sipora alizaa mtoto wa kiume, naye Mose akamwita Gershomu, akisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”

  2. pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershomu, kwa kuwa Mose alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”

  3. Wana wa Mose walikuwa: Gershomu na Eliezeri.

  4. Wazao wa Gershomu: Shebueli alikuwa wa kwanza.

  5. Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Mose, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.