Shubael
Anajulikana pia kama: Shebuel
Mistari inayomtaja Shubael
Wazao wa Gershomu: Shebueli alikuwa wa kwanza.
Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki: Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli; kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya.
Shebueli, mzao wa Gershomu mwana wa Mose, alikuwa afisa mwangalizi wa hazina.