Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wives: To be faithful to them

4 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu To be faithful to them

  1. Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe, naye vivyo hivyo mke kwa mumewe.

  2. Mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mumewe, wala mume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mkewe.

  3. Msinyimane, isipokuwa mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda fulani ili mweze kujitoa kwa maombi, kisha mrudiane tena ili Shetani asije akapata nafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kutokuwa na kiasi.

  4. Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asitengane na mumewe.