Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Wives: Not to be selected from among the ungodly

4 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Not to be selected from among the ungodly

  1. Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,

  2. Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.

  3. Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaki na Rebeka.

  4. Basi Isaki akamwita Yakobo, akambariki na akamwamuru, akisema, “Usioe mwanamke wa Kikanaani.