Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu War: Frequently engaged in (See Joshua chapters 6 through 11)

3 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu Frequently engaged in (See Joshua chapters 6 through 11)

  1. Kulikuwa na vita vinavyoendelea kati ya Rehoboamu na Yeroboamu.

  2. Kwa habari ya matukio mengine ya utawala wa Abiya na yote aliyofanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda? Kulikuwa na vita kati ya Abiya na Yeroboamu.

  3. Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zote za utawala wao.