Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu War: The contest of saints with the enemies of their salvation

4 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu The contest of saints with the enemies of their salvation

  1. Lakini ninaona kuna sheria nyingine inayotenda kazi katika viungo vya mwili wangu inayopigana vita dhidi ya ile sheria ya akili yangu. Sheria hii inanifanya mateka wa ile sheria ya dhambi inayofanya kazi katika viungo vya mwili wangu.

  2. Ingawa tunaishi duniani, hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo.

  3. Kwa maana kushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidi ya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

  4. Mwanangu Timotheo, ninakupa agizo hili, kwa kadiri ya maneno ya unabii yaliyosemwa kukuhusu, ili kwa kuyafuata upate kupigana vita vizuri,