Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu War: Famine

3 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu Famine

  1. Majanga haya mawili yamekuja juu yako: ni nani awezaye kukufariji? Maangamizi, uharibifu, njaa na upanga: ni nani awezaye kukutuliza?

  2. Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo kuhusu manabii wanaotabiri kwa jina langu: Mimi sikuwatuma, lakini wanasema, ‘Hakuna upanga wala njaa itakayoigusa nchi hii.’ Manabii hao hao watakufa kwa upanga na njaa.

  3. Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa.