Mistari ya Biblia kuhusu Waiting Upon God: Shall renew their strength
Mistari kuhusu Shall renew their strength
bali wale wamtumainio Bwana atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.