Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Waiting Upon God: Predicted of the Gentiles

2 mistari · 68 vipengele

Mistari kuhusu Predicted of the Gentiles

  1. hatazimia roho wala kukata tamaa, mpaka atakaposimamisha haki juu ya dunia. Visiwa vitaweka tumaini lao katika sheria yake.”

  2. Hakika visiwa vinanitazama, merikebu za Tarshishi ndizo zinazotangulia, zikiwaleta wana wenu kutoka mbali, wakiwa na fedha na dhahabu zao, kwa heshima ya Bwana, Mungu wenu, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, kwa maana amekujalia utukufu.