Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Waiting Upon God: Exhortations and encouragements to

3 mistari · 68 vipengele

Tafuta "Waiting Upon God"

Mistari kuhusu Exhortations and encouragements to

  1. Mngojee Bwana, uwe hodari na mwenye moyo mkuu, nawe, umngojee Bwana.

  2. Tulia mbele za Bwana na umngojee kwa uvumilivu; usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, wanapotekeleza mipango yao miovu.

  3. Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote.