Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Urim and Thummin: Illustrative of the light and perfection of Christ, the true high priest

5 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu Illustrative of the light and perfection of Christ, the true high priest

  1. Kuhusu Lawi alisema: “Thumimu yako na Urimu yako ulimpa, mtu yule uliyemfadhili. Ulimjaribu huko Masa na kushindana naye kwenye maji ya Meriba.

  2. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.

  3. Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.

  4. Kwa kuwa sheria ilitolewa kwa mkono wa Mose, lakini neema na kweli imekuja kupitia Yesu Kristo.

  5. ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.