Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of the Church: Holy mountain
Mistari kuhusu Holy mountain
Hili ndilo asemalo Bwana: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima wa Bwana Mwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.”