Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of the Church: Heavenly of Jerusalem
Mistari kuhusu Heavenly of Jerusalem
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye mama yetu.
Lakini ninyi mmekuja Mlima Sayuni, Yerusalemu ya mbinguni, mji wa Mungu aliye hai. Mmekuja penye kusanyiko kubwa la malaika maelfu kwa maelfu wasiohesabika wanaoshangilia,