Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of the Church: Body of Christ

3 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu Body of Christ

  1. Naye Mungu ameweka vitu vyote viwe chini ya miguu yake na amemfanya yeye awe kichwa cha vitu vyote kwa ajili ya Kanisa,

  2. ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake yeye aliye yote katika yote.

  3. Sasa nafurahia kule kuteseka kwangu kwa ajili yenu, na katika mwili wangu ninatimiliza yale yaliyopungua katika mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake, ambao ni kanisa.