Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Christ: Light of the world
Mistari kuhusu Light of the world
Kisha Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni nuru ya ulimwengu. Mtu yeyote akinifuata hatatembea gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”