Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Christ: Everlasting Father
Mistari kuhusu Everlasting Father
Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanaume, nao utawala utakuwa mabegani mwake. Naye ataitwa Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani.