Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Wisdom of God: His counsels

2 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu His counsels

  1. Haya yote pia hutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, mwenye mashauri ya ajabu, na anayepita wote kwa hekima.

  2. makusudi yako ni makuu, na matendo yako ni yenye uwezo. Macho yako yanaona njia zote za wanadamu, nawe humlipa kila mmoja kulingana na mwenendo wake, na kama yanavyostahili matendo yake.