Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Wisdom of God: The heart

3 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu The heart

  1. je, Mungu hangaligundua hili, kwa kuwa anazijua siri za moyo?

  2. Mauti na Uharibifu viko wazi mbele za Bwana: je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu!

  3. Yesu akawaambia, “Ninyi mnajionyesha kuwa wenye haki mbele za wanadamu, lakini Mungu anaijua mioyo yenu. Kwa maana vile vitu ambavyo wanadamu wanavithamini sana, kwa Mungu ni machukizo.