Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Wisdom of God: His works

5 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu His works

  1. Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa?

  2. Ee Bwana, jinsi matendo yako yalivyo mengi! Kwa hekima ulizifanya zote, dunia imejaa viumbe vyako.

  3. Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele.

  4. Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;

  5. Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake, akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake, na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake.