Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribes of Israel: Each family of, had a chief or head

2 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu Each family of, had a chief or head

  1. Viongozi wa jamaa ya ukoo wa Gileadi mwana wa Makiri, mwana wa Manase, waliokuwa wametoka katika koo za wazao wa Yosefu, walikuja na kuzungumza mbele ya Mose na viongozi, wakuu wa jamaa ya Waisraeli.

  2. Watu hawa walioorodheshwa hapa juu kwa majina walikuwa viongozi wa koo zao. Jamaa zao ziliongezeka sana,