Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribes of Israel: Names of, engraven on the breastplate of the high priest

2 mistari · 21 vipengele

Tafuta "The Tribes of Israel"

Mistari kuhusu Names of, engraven on the breastplate of the high priest

  1. Patakuwa na vito kumi na viwili, kila kimoja kwa jina mojawapo la wana wa Israeli, kila kimoja kichorwe kama muhuri kikiwa na jina mojawapo la yale makabila kumi na mawili.

  2. Palikuwa na vito kumi na viwili, kila kimoja kikiwa na jina mojawapo la wana wa Israeli; kila kimoja kilichorwa kama muhuri kikiwa na jina mojawapo la yale makabila kumi na mawili.