Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribe Of Issachar: Bounds of their inheritance

7 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu Bounds of their inheritance

  1. Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo.

  2. Eneo lao lilijumuisha: Yezreeli, Kesulothi, Shunemu,

  3. Hafaraimu, Shioni, Anaharathi,

  4. Rabithi, Kishioni, Ebesi,

  5. Remethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi.

  6. Mpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.

  7. Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.