Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu The Ten Commandments: Summed up Christ

6 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Summed up Christ

  1. Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,

  2. “Mwalimu, ni amri ipi katika Sheria iliyo kuu kuliko zote?”

  3. Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’

  4. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

  5. Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’

  6. Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.”