Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Stars: Pleiades

3 mistari · 40 vipengele

Mistari kuhusu Pleiades

  1. Yeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu, na Orioni, Kilimia, na makundi ya nyota za kusini.

  2. “Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni?

  3. (yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko na mchana kuwa usiku, ambaye huyaita maji ya bahari na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: Bwana ndilo jina lake;