Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Stars: (Withdrawing their light,) of severe judgments

4 mistari · 40 vipengele

Mistari kuhusu (Withdrawing their light,) of severe judgments

  1. Nyota za mbinguni na makundi ya nyota havitatoa mwanga wake. Jua linalochomoza litatiwa giza na mwezi hautatoa nuru yake.

  2. Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu na kuzitia nyota zake giza; nitalifunika jua kwa wingu, nao mwezi hautatoa nuru yake.

  3. Mbele yao dunia inatikisika, anga linatetemeka, jua na mwezi vinatiwa giza, na nyota hazitoi mwanga wake tena.

  4. Jua na mwezi vitatiwa giza, na nyota hazitatoa mwanga wake tena.