Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection: A first principle of the gospel

4 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu A first principle of the gospel

  1. Lakini kama hakuna ufufuo wa wafu, basi hata Kristo hakufufuliwa.

  2. Tena ikiwa Kristo hakufufuliwa kutoka kwa wafu, kuhubiri kwetu kumekuwa ni bure na imani yenu ni batili.

  3. Kwa hiyo, tukiachana na mafundisho yale ya awali kuhusu Kristo na tukisonga mbele ili tufikie utimilifu, sio kuweka tena msingi wa mafundisho ya kuzitubia kazi zisizo na uhai na imani katika Mungu,

  4. mafundisho kuhusu aina za ubatizo, kuwekea watu mikono, ufufuo wa wafu, na hukumu ya milele.