Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection: Saints should look forward to

3 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu Saints should look forward to

  1. “Lakini wewe, enenda zako mpaka mwisho. Utapumzika, nawe ndipo mwisho wa hizo siku utafufuka ili kuupokea urithi uliowekewa.”

  2. Kwa maana twajua kama hema yetu ya dunia tunayoishi ikiharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu, nyumba iliyo ya milele kule mbinguni, isiyojengwa kwa mikono ya wanadamu.

  3. ili kwa njia yoyote niweze kufikia ufufuo wa wafu.