Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection: Have bodies like Christ's

2 mistari · 36 vipengele

Mistari kuhusu Have bodies like Christ's

  1. atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, ili upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote chini yake.

  2. Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo.