Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Altar of Burnt Offering: Furnished with rings and staves

5 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Furnished with rings and staves

  1. Tengeneza mipiko ya mti wa mshita kwa ajili ya madhabahu, na uifunike kwa shaba.

  2. Hiyo mipiko itaingizwa kwenye zile pete ili iwe pande mbili za madhabahu inapobebwa.

  3. Akasubu pete za shaba za kushikilia ile mipiko kwa ajili ya zile pembe nne za huo wavu wa shaba.

  4. Akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuifunika kwa shaba.

  5. Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao.