Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Altar of Burnt Offering: Anointed and sanctified with holy oil

3 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Anointed and sanctified with holy oil

  1. Kisha yapake mafuta hayo madhabahu ya kuteketezea sadaka pamoja na vifaa vyake vyote; weka wakfu madhabahu nayo yatakuwa takatifu sana.

  2. Ndipo Mose akachukua mafuta ya upako na kuipaka maskani na kila kitu kilichokuwamo ndani yake, kisha akaviweka wakfu.

  3. Akanyunyiza baadhi ya mafuta juu ya madhabahu mara saba, akaipaka madhabahu mafuta na vyombo vyake vyote pamoja na sinia na kinara chake, ili kuviweka wakfu.