Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Altar of Burnt Offering: Consumed the sacrifices

2 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Consumed the sacrifices

  1. Kisha wana wa Aroni walio makuhani watapanga vile vipande vya nyama, pamoja na kichwa na mafuta ya huyo mnyama juu ya zile kuni zinazowaka juu ya madhabahu.

  2. Ataziosha sehemu za ndani na miguu yake kwa maji, naye kuhani atavichoma vyote juu ya madhabahu. Hii ni sadaka ya kuteketezwa, sadaka iliyotolewa kwa moto, yenye harufu nzuri ya kumpendeza Bwana.