Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Thanksgiving: Should be accompanied by intercession for others

3 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Should be accompanied by intercession for others

  1. Awali ya yote, nasihi kwamba dua, sala, maombezi na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote:

  2. Ninamshukuru Mungu, ninayemtumikia kwa dhamiri safi, kama walivyofanya baba zangu, ninapokukumbuka usiku na mchana katika maombi yangu.

  3. Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu,