Rukia maudhui

Jehiel

4 mistari · 2 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Jehieli

Mistari inayomtaja Jehiel

  1. Wana wa Ladani walikuwa watatu: Yehieli wa kwanza, Zethamu na Yoeli.

  2. Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,

  3. wana wa Yehieli, wana wa Zethamu na wa nduguye Yoeli. Wao walikuwa waangalizi wa hazina za Hekalu la Bwana.

  4. Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la Bwana chini ya uangalizi wa Yehieli Mgershoni.