Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Thanksgiving: For deliverance through Christ from in-dwelling sin

3 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu For deliverance through Christ from in-dwelling sin

  1. Lakini ninaona kuna sheria nyingine inayotenda kazi katika viungo vya mwili wangu inayopigana vita dhidi ya ile sheria ya akili yangu. Sheria hii inanifanya mateka wa ile sheria ya dhambi inayofanya kazi katika viungo vya mwili wangu.

  2. Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?

  3. Ashukuriwe Mungu kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu! Hivyo basi, mimi mwenyewe kwa akili zangu ni mtumwa wa sheria ya Mungu, lakini katika asili ya dhambi ni mtumwa wa sheria ya dhambi.